NEW HOPE EDUCATION CENTER ILIYOKO KABALE BUKOBA JIRANI NA KWA CHIFU LUKAMBA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO MWAKA 2022/2023 KWA;
-ELIMU YA KIDATO CHA TANO NA SITA KWA MWAKA MMOJA. ( SIFA UWENA CREDIT 3 ZA MASOMO YOYOTE ISIPOKUA SOMO LA DINI
-WANAO RUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE.
KOMBINEISHENI ZINAZOFUNDISHWA NI HKL,HGK NA HGL EGM Na CBG. ( ADA NI LAKI 5(500,000) KWA MWAKA)Na INALIPWA KWA AWAMU 4
HOSTEL ZIPO KWA WANAFUNZI WANAOTOKA MBALI
KUMBUKA; NEW HOPE EDUCATION CENTER. IMEANZA MWAKA 2017 NA WANAFUNZI WOTE WALIOSOMEA KITUONI KWETU WAMEFANIKIWA KUFAULU MITIHANI YAO NA KWENDA ELIMU YA JUU .
KWA USHAURI YA KIMASOMO TUPIGIE
0659300093/0625294986
HATUJARIBU ,TUNAFANYA NA HATUBAHATISHI ,TUNAWEZA