MKUU WA CHUO CHA UFUNDI KABALE KILICHOPO MKOANI KAGERA ANAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KATIKA KOZI MBALIMBALI KATIKA MWAKA WA MASOMO 2020/2021
- HOTEL MENAGEMENT
-UALIMU WA CHEKECHEA
-TOUR GUIDE
-INFORMATION AND COMPUTER TECHNOLOGY(ICT)
-UFUNDI UMEME
-USHONAJI NA UFUMAJI
KOZI HIZI ZINATOLEWA KWA MDA MFUPI( SHORT COURSE MIEZI 6) NA KWA MWAKA MMOJA.
SIFA ZA MWOMBAJI
-MWOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE
NAFASI ZIPO KWA WANAFUNZI WANAOHITAJI KURUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA WALE WANAO HITAJI KUSOMA MASOMO YA KIDATO CHA TANO NA SITA KWA MWAKA MMOJA
HOSTEL ZIPO KWA WANAFUNZI WANAOTOKA MBALI AU NJE YA MKOA WA KAGERA.
ADA ZETU NI NAFUU NA UNALIPA KWA AWAMU 4.
CHUO KINAHUSIKA KUWATAFUTIA NAFASI ZA AJIRA KWA WANAFUNZI WANAOMALIZA CHUONI KWETU.
PIA CHUO KINAWATAFUTIA WANAFUNZI SEHEMU ZA KUFANYIA MAFUNZO YA VITENDO(FIELD)
FOMU ZA MAOMBI YA KUJIUNGA ZINAPATIKANA CHUONI KABALE KWA SH.5000/=
AU
PIGA SIMU 0783 004 369
UTATUMIWA FOMU KWA POPOTE ULIPO
-CHUO KITAFUNGULIWA NA MASOMO YATAENDELEA BAADA YA TAMKO LA SERIKALI KUHUSIANA NA MUONENDO WA UGONJWA WA CORONA.
MAWASILIANO ZAIDI. 0683621253
0759 125 405
0783 004 369
NYOTE MNAKARIBISHWA